Interview with the Postcrossing project

I have been interviewed by the Postcrossing project. Click here, and read about fostering global friendship and understanding through postcards, traveling, and public philosophy. Join at www.postcrossing.com!

For the love of postcards

Before Facebook, WhatsApp, Instagram, and Twitter, there was the postcard. Many young people have never sent one to anyone. Communication today is mostly instant, and mail is derogatorily called “snail mail” by the digital crowd. Since the world’s first picture postcard was sent to London-based writer Theodore Hook in 1840, the postcard has enjoyed much popularity as a means to share images and thoughts across regions and cultures. In recent times, that popularity has rapidly declined, mostly due to the rise of mobile phones and social media. Sending a postcard takes more time and effort than sending an email, or a message on social media, which makes postcards even more meaningful now than they were when there was no instant alternative.

Continue reading “For the love of postcards”

Mapenzi ya kadi za posta

Kabla ya Facebook na Instagram, kulikuwa na kadi ya posta. Vijana miongoni mwetu huenda hawajawahi kutuma hata moja kwa mtu yeyote yule. Mawasiliano leo hii ni ya haraka, na barua huitwa kwa dharau “barua ya konokono” na umati wa kidijiti. Tokea kadi posta ya kwanza ya picha itumwe kwa mwandishi wa London-Theodore Hook mnamo mwaka 1840, barua ya posta imepata umaarufu kama njia ya kutumiana picha na kushirikiana kimawazo katika maeneo na tamaduni mbalimbali. Katika siku za hivi karibuni, umaarufu huo umepungua sana, kwa sababu ya simu za rununu na mitandao ya kijamii. Kutuma kadi za posta huchukua mda mwingi na nguvu kuliko kutuma barua pepe, au ujumbe kwenye mitandao ya kijamii, ambayo inafanya kadi za posta ziwe na maana zaidi kuliko ilivyokuwa wakati hakukuwa na njia mbadala ya papo kwa hapo. Continue reading “Mapenzi ya kadi za posta”